Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Mapungufu yaliyomo katika katiba ya sasa ni:- 1. Katiba hii ilitungwa katika mfumo wa chama kimoja hivyo ni dhahiri kuwa inakibeba chama hicho. 2. Katiba hii inampa raisi mamlaka makubwa mno, pamoja na vyombo vya kiutendaji; hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuhoji hasa katika mfumo wa vyama vingi. 3. Uteuzi wa watendaji wa taasisi za kiutendaji kama taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa (TAKUKURU) na tume ya maadili ya viongozi uko chini ya raisi hivyo kushindwa kutoa mwanya wa kuhoji. 4. Raisi akistaafu, inampa kinga ya kutoshtakiwa hata kama alitenda ndivyo sivyo. |
(Not translated) |