Base ((unknown language)) | Kiswahili |
---|---|
1.1 LENGO NA MADHUMUNI YA KUANZISHWA KWA SHIRIKA.1.2 LENGO KUU.NI KUUNGANISHA JAMII ZISHIRIKI KATIKA MASWALA YA KIJAMII. 1.4.MADHUMUNI YA SHIRIKA. 1.4.1 Kuhamasisha jamii juu ya kushiriki katika maswala yahusuyo jamii 1.4.2 Kutoa elimu ya ujasilia mali kwa jamii 1.4.3 Kuhamasisha jamii, walezi na wazazi juu ya kuzungumza na watoto kuhusu masuala ya afya ya uzazi, stadi za maisha na VVU/UKIMWI. 1.4.4 Kuwapa watoto elimu ya uongozi na utawala bora kwa kuwaanda kuwa viongozi bora wa baadae. 1.4.5 Kutoa elimu kwa watoto juu ya masuala ya jinsia na mgawanyo wamajukumu. 1.4.6 Kutoa elimu ya mahitaji ya watoto kwa msingi wa haki na ustawi. 1.4.7 Kuwasaidia watoto walio katika familia duni zaidi kiuchumi. 1.4.8 Kutoa elimu ya ulinzi, ushiriki kutobaguliwa na kumwendeleza mtoto kufikia malengo. 1.4.9 Kuwezesha familia, jamii, kuelewa matatizo ya mtoto na kumpatia mwelekeo sahihi ili aweze kuwa raia mwema katika familia, jamii na taifa. 1.4.10 Kutoa elimu ya wajibu wa mtoto kwa mzazi, mlezi na jamii kuelewa chanzo cha tatizo na jinsi ya kulishughulikia. 1.4.11 Kushiriki katika kubuni, kupanga na kutekeleza mipango mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa |
(Not translated) |