Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
VISSION; Tunataka kuona jamii inayoona kuwa Maisha bora kwa akina mama ni haki za bianaadamu. . MISSION; Kuhakikisha kwamba kila mwanamke aliye hai anapata haki yake sawa na haki za binaadamu zinavyotamkwa na vyombo mbali mbali vikiwemo vya umoja wa mataifa,katiba,sheria n.k..kujitahidi kwa kutumia raslimali zinazopatikana na njia zote zinazowezekana kuboresha maisha ya mwanamke anayeishi katika mazingira magumu,kutia ndani wajane,walamavu ,wazee ,nawenye mtidio wa akili na kuwawezesha kwa mbinu zote kuhakikisha wanaishi maisha yaliyokusudiwa yasiyo na namna yeyote ya dharau kunyanyaswa,kukeketwa,kunyanyapaliwa kwa aina yeyote,na kutengwa kwa makusudi. |
(Not translated) |