Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Terezia akiomba na kusisitiza matumizi ya dozi sahihi,hii ni baada ya kutoa ushuhuda kuwa wakina mama wengi hawana uwezo,hivyo huamua kununua dozi nusu,amesisitiza hatauza dozi pungufu. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe