Envaya

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WIbNli40vZ1u3pB7nHOaYl3T:content

Base (Igiswayire) Kiswahili

Baraka Goodhope Orphan's Development (BAGODE) yenye makao makuu Mwanza Tanzania, linatangaza nafasi za volunteer kwa wale wenye taaluma na wanaohitaji kujitolea kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Sifa za mwombaji

Mwombaji awe na fani ya elimu ya jamii pia mwombaji awe na uwezo wa kufanya kati ya kazi zifuatazo:

  1. Uandishi wa proposal (proposal writing)
  2. Uandishi wa taarifa     (Report writing)
  3. Kazi za nje ya ofsi       (Field work)
  4. ufuatiliaji na tathmini  

volunteer watakaofanya ufuatiliaji na wale wa field siku zao za kufanya kazi itakuwa siku ya jumatano, alhamisi na Ijumaa tu kwa wiki. asasi itawawezesha chakula cha mchana, chai asubuhi na nauli za kwenda na kurudi kutoka field.

Waombaji watakaofanikiwa kujiunga na BAGODE kutoka nje ya Tanzania watapata mahali pa kuishi, Chai na chakula cha mchana bure ila watachangia dollar 100 za kimarekani kwa kila mwezi ili kuendeleza shughuli za asasi.

Maombi yatumwe kwa Mratibu wa shirika la BAGODE kwa anuani zifuatazo:

Mratibu wa shirika la BAGODE, S.L.P 6373 Mwanza - Tanzania

  • SIMU: +2552832542341/ +255787370917

 Barua pepe: bagodemza@yahoo.com

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

bagode
6 Gashyantare, 2013
Baraka Goodhope Orphan's Development (BAGODE) yenye makao makuu Mwanza Tanzania, linatangaza nafasi za volunteer kwa wale wenye taaluma na wanaohitaji kujitolea kutoka ndani na nje ya Tanzania. – Sifa za mwombaji – Mwombaji awe na fani ya elimu ya jamii pia mwombaji awe na uwezo wa kufanya kati ya kazi zifuatazo: – Uandishi wa proposal (proposal writing) Uandishi wa taarifa (Report...