Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WIZBhk351i2q8ZRxEtq4XWZo:content

Base (English) Kiswahili

Effortless mobile messaging for your NGO - special Envaya discount

Dear Envaya Users and Supporters,

I’m excited to tell you about Telerivet, a mobile messaging platform created by the same team that created Envaya.

Telerivet makes SMS messaging effortless so your organization can quickly and easily communicate with your community—including those without a smartphone or internet access.

All your organization needs is an Android phone. The people you communicate with won't need a smartphone and can use even the most basic phone.

Many Tanzanian NGOs are already using Telerivet to improve their reach and efficiency, and your organization can too. For example, your organization could use Telerivet to:

  • Send messages to your community updating them on your organization’s news and events

  • View and respond to mobile conversations in real-time from any web browser

  • Collect public opinion through SMS polls and surveys

  • Create auto-replies based on keywords that are texted in

  • Schedule reminder messages

  • Track mobile money receipts (Tigo Pesa/M-Pesa)

  • Create your own custom message services using our Rules Engine or Developer API

In addition to working on Envaya, I'm also the East Africa operations director for Telerivet.

As thanks for being an Envaya user, we're offering a 20% discount for Envaya users -- as long as you sign up for Telerivet before June 1. To redeem your 20% discount for free, just sign up at https://telerivet.com/pg/redeem_coupon?code=ENVAYA2014

Let me know if you'd like a demo of Telerivet. If you’re in Dar es Salaam we could schedule a time to meet at our office.

For more information about Telerivet, visit www.telerivet.com.

Thank you,

Radhina

Huduma za SMS kwa ajili ya Shirika Lako - Ofa kwenye Envaya

Habari wadau na washiriki wa Envaya,

Ninafuraha kubwa ya kuwaeleza kuhusu Telerivet, huduma ya ujumbe mfupi iliyoundwa na timu ile ile iliyounda Envaya.

Telerivet inasaidia kufanya utumaji wa Ujumbe Mfupi kuwa rahisi sana kwa ajili ya shirika lako kuwasiliana haraka na jamii yake -- hata wale wasiokuwa na simu za kisasa zenye intaneti.

Kinachohitajika ni shirika lako tu liwe na simu yenye Android. Jamii utakayokuwa unawasiliana nayo haitohitaji simu ya kisasa.

Mashirika mengi ya kitanzania tayari yameshaanza kujiunga na kutumia Telerivet ili kijiimarisha na kukuza mashika yao. Hata shirika lako pia linaweza kufanya hivi. Kwa mfano shirika lako linaweza kutumia Telerivet kufanya yafuatayo:

  • Kutuma SMS kwa jamii kuwajulisha kuhusu habari mbali mbali na hafla

  • Kuona na kujibu mada kwa muda husika kwenye mtandao wa internet

  • Kukusanya maona ya jamii

  • Kutengeneza majibu yanayojiendesha yenyewe kutokana na neno kuu

  • Kufuatilia risiti za M-Pesa na Tigo Pesa

  • Kutengeneza huduma yako mwenyewe kwa kutumia mfumo unaopatikana kwenye website zetu

Pamoja na kazi Envaya pia mimi ni Mkurugenzi wa operesheni wa Telerivet.

Kwa kutoa shukurani kwenu kwa kuwa wadua na washiriki wazuri wa Envaya tunatoa punguzo maalum kwaajili ya watumiaji wa Envaya-- hakikisha unajiunga kabla ya juni 1. ili kupata offer hi ya punguzo la 20% bure, jiunge kwa kutumia kiungo hiki https://telerivet.com/pg/redeem_coupon?code=ENVAYA2014

Tafadhali tope taarifa kama utahitaji maelekezo zaidi ya utumiaji wa Telerivet. Kama upo Dar-es-salaam unakaribishwa ofisini kwetu.

Kwa taarifa zaidi tembelea www.telerivet.com

Asanteni

Radhina


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
May 9, 2014
Huduma za SMS kwa ajili ya Shirika Lako - Ofa kwenye Envaya – Habari wadau na washiriki wa Envaya, – Ninafuraha kubwa ya kuwaeleza kuhusu Telerivet, huduma ya ujumbe mfupi iliyoundwa na timu ile ile iliyounda Envaya. – Telerivet inasaidia kufanya utumaji wa Ujumbe Mfupi kuwa rahisi sana kwa ajili ya shirika lako kuwasiliana haraka na jamii yake -- hata wale wasiokuwa na simu za...
This translation refers to an older version of the source text.