Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WIU66weTOs02DZ5Oji1srTVs:content

Base ((unknown language)) Kiswahili
ndeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla. (5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu. (6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Maktaba za jamii.
. shirika limejikita zaidi katika vipengele vikuu kama elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira, ukimwi na malaria, ujasiriamali, utawala bora na haki za binadamu. Hivyo:- (1)- kushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii. (2)- kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma hizo ipasavyo. (3)- kuishawishi serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa. (4)- kuhamasisha jamii kushiriki harakati za maendeleo ndani ya Wilaya na Nchi kwa ujumla. (5)- Kubuni njia zitakazoleta ufanisi katika vipengele vya hapo juu. (6)- Kuandikana kuzalisha habari zitakazosambazwa kwa Wananchi kupitia Makta

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Comments

KAULI MBIU YA SHILIKA Elimu ni silaha ya kupimdua ulimwengu katika ujinga
November 2, 2014 by Kasodefo2009

Translation History

Kasodefo2009
January 12, 2014
. shirika limejikita zaidi katika vipengele vikuu kama elimu, kilimo na utunzaji wa mazingira, ukimwi na malaria, ujasiriamali, utawala bora na haki za binadamu. Hivyo:- (1)- kushirikiana na serikali na vyombo vingine visivyo vya kiserikali vya ndani na nje ya nchi katika kutoa huduma kwa jamii. (2)- kuainisha mahitaji na kushiriki katika kupanga na kutekeleza huduma hizo ipasavyo. (3)- kuishawishi serikali na vyombo vyake ili vitoe huduma bora katika jamii kwa haki na usawa. (4)- kuhamasisha...
Kasodefo2009
January 12, 2014
DIRA YA SASI kuhakikisha mabadiliko katika nyanja ya kiuchumi na kijamii yanakuwepo katika jamii ili jamii iweze kunufaika kwayo. UTUME WA ASASI kuifanya jamii iweze kuhamasika dhidi ya kufikia malengo ya milenia. kuwajali, kuwathamini na kuwajengea uwezo wa kimaisha watu waishio katika mazingira magumu hususani wanawake na vijana walio hatarini kuathirika/walio athirika kiuchumi na kijamii. MALENGO YA SHIRIKA kwa kua shirika linalenga zaidi katika kupambana na umasikini, ujinga na maradhi....