Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WIAtZ2smTOq9KQTiVuol5mHQ:content

Base (English) Kiswahili

Tanzania’s fourth national census since independence started on August 26. The exercise is carried out every decade and it is an essential part of national development and establishing the number of Tanzanians in the soul of national development planning. 

However, the census has not received universal support. We heard several members of the community threatening to boycott enumerators, and civilians, religious leaders and village chairmen in various parts of the country demanding not to participate in the census exercise. 

In September, the Envaya team surveyed several CSO’s to get their opinions on the census. Read what they said, and participate in the discussion!

Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo.

Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili tulisikia juu ya kugoma kwa makalani kutokana na kwamba walicheleweshewa malipo ya posho zao kama yalivyokuwa mapatano yao na serikali, pia tulisikia migomo mbalimbali kutoka kwa raia, viongozi wa dini na wenyeviti wa vijiji katika kona mbalimbali za nchi kwa madai ya kutoshiriki zoezi la sensa.

Kufuatia hayo yote, Envaya kama shirika la kijamii liliamua kufanya utafiti ili kujua utekelezaji wa mchakato mzima.
Soma majibu yao, na kutoa maoni yako!


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
October 25, 2012
Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili tulisikia juu ya...
This translation refers to an older version of the source text.
youngj
October 25, 2012
Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili tulisikia juu ya kugoma kwa makalani kutokana na kwamba...
This translation refers to an older version of the source text.
youngj
October 25, 2012
Maoni kuhusu Utekelezaji wa Sensa kwa Mwaka 2012 – Hili ni zoezi la nne la sensa ya watu na makazi tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mwaka 1961. Sensa hii hufanyika baada ya miaka kumi kama utaratibu ulivyo tangu kuanza kwa zoezi hili. Kwa mwaka huu zoezi lilianza tarehe 26/08/2012 kwa nchi nzima. Umuhimu wa zoezi hili ni kujua idadi ya watanzania na makazi yao ili serikali iweze kupanga mikakati yake ya maendeleo. – Kabla ya serikali kuanza kutekeleza zoezi hili...
This translation refers to an older version of the source text.