Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI000E5DB25860F000008083:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

MED inatafuta washirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote.

Kwa sasa washirika wa MED ni:-

  • OxfarmGB
  • HakiElimu ya jijini Dar es Salaam
  • UWEZO.net ya jijini Dar es Salaam
  • ILO
  • The Foundation for Civil Society
  • BBC Media Action
  • CARE - Tanzania
  • United Nations Girls Education Innovation (UNGEI)

 

MED inatafuta wshirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote.

Kwa sasa washirika wa MED ni:-

  • HakiElimu ya jijini Dar es Salaam na
  • UWEZO.net nao pia wa jijini Dar es Salaam ambao kwa pamoja wanatuhisani katika uendeshaji wa vipindi vya Radio.
  • CARE - Tanzania
  • Shirika la kimataifa la Oxfam GB. Hawa ni wabia wetu katika Mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa katika shule 20 za Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

M-E-D-1-1
12 Februari, 2013
MED inatafuta wshirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote. – Kwa sasa washirika wa MED ni:- – HakiElimu ya jijini Dar es Salaam na UWEZO.net nao pia wa jijini Dar es Salaam ambao kwa pamoja wanatuhisani katika uendeshaji wa vipindi vya Radio. CARE - Tanzania Shirika la kimataifa la Oxfam GB. Hawa ni wabia wetu...
This translation refers to an older version of the source text.