Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
The Envaya account settings page allows you to can update your organization's contact information and other settings. When you are logged into Envaya, the On this page you can change how your organization's name appears on Envaya, and update your email address and phone number. In the Primary language section, you can set the language that you primarily use for the written content on your website. In the Notification Settings section, you can change when Envaya will contact your organization. To save your new settings, click the button at the bottom of the page when you are finished. Changing Your Organization's UsernameFrom your account settings page, you can change your organization's username by clicking Change Username. Note that when you change your username, your website address on Envaya will also change (from http://envaya.org/old_username to http://envaya.org/new_username, for example). If somebody visits your old website address, Envaya will automatically redirect them to your new website address. After you change your username, another organization may register your old username and create a website with your old website address. Changing Your Organization's PasswordFrom your account settings page, you can change your organization's password by clicking Change Password.
|
Ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji unakuwezesha kubadili vitu vingi kwenye tovuti yako kama namba za mawasiliano. Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya,kifungo cha namna hii Katika ukurasa huu unaweza kubadilisha jina la asasi lako, na kubadili anwani ya barua pepe na namba za simu. Katika sehemu ya lugha ya msingi, unaweza kuchagua lugha ya msingi utakayopenda kuitumia kwenye tovuti yako. Katika sehemu ya taarifa ya Mtumiaji, unaweza kubadilisha ili kuboresha mawasiliano yako na kufanya iwe rahisi kwa Envaya kuwasiliana na asasi yako na hata kwa wadau wengine. Kuhifadhi mabadiliko,kifungo cha hapa chini ya ukurasa wakati wewe ni kumaliza. Kubadilisha Jina la Mtumiaji wa Shirika lako.Kwenye ukurasa wa vifaa vya Mtumiaji, unaweza kubadilisha jina la mtumiaji wa asasi yako kwa kubonyeza Badilisha Jina la Mtumiaji. Kumbuka kwamba ukibadikisha jina lako la mtumiaji, anwani ya tovuti yako ya Envaya pia itabadilika (kutoka http://envaya.org/jina la zamani kwa http://envaya.org/jina jipya kwa mfano). Kama mtu atatembelea anwani yako ya zamani, Envaya itawapeleka moja kwa moja kwenye anwani yako mpya. Baada ya kubadilisha jina la mtumiaji wa asasi yako, shirika lingine linaweza kujisajili na jina la mtumiaji yako ya zamani na kujenga tovuti kwa anuani yako ya zamani. Kubadilisha neno la siri la Shirika lakoKwenye ukurasa wa Vifaa Vya Mtumiaji unaweza kubadilisha neno la siri kwenye asasi yako kwa kubonyeza Badilisha neno la siri.
|
Historia ya tafsiri
|