Envaya

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI000DC5A68F9D9000000243:content

Base (Swahili) Kiswahili
tunatoa mafunzo ya elimu ya watu wazima(mukeja) kila jumanne na alhamisi fika matimira bar tunatoa mafunzo bure kwa msaada wa Hanns Sendel Foundation kuanzia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni, tunafundisha kwa njia ya reflect.pia tunfundisha masomo ya ujasiliamali kwa vitendo kama, kutengeneza sabuni na kusindika chakula(food processing)
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register