Envaya

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI000D98CEBA57D000081590:content

Base (Igiswayire) Kiswahili




11_11_78zvs4.jpg

Mfanyabiashara maarufu wa mjini Iringa, Mama Mbilinyi akiingizwa ndani ya gari la Polisi kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajamjeruhi kwa tuhuma za kufuga misukule. jana hali ilikuwa namna hii huko Iringa.

DSCF1673.JPG


DSCF1666.JPG


DSCF1671.JPG


DSCF1681.JPG


DSCF1658.JPG


DSCF1652.JPG


DSCF1636.JPG


DSCF1646.JPG


Askari wa kikosi cha askari wa kutuliza Ghasia (FFU) Iringa watumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliovamia nyumba ya mtumishi wa Mungu kwa madai kuwa kuna watu 15 wanaodaiwa kufa na kuonekana katika nyumba hiyo ( misukule).

Wananchi hao wenye hasira kali zaidi ya 200 walitumia mawe kuwashambulia FFU huku wao FFU wakitumia mabomu ya machozi kupambana Huku wanahabari wavyombo mbali mbali na askari polisi na mchungaji mmoja wakinusurika kuuwawawakishambuliwa kwa mawe na wengine kuvunjiwa kamera zao na wananchi hao ambao walionyesha kuwachukia askari polisi pamoja na wanahabari ambao waliteuliwa na wananchi wenyewe kuwawakilisha katika kukagua nyumba hiyo bilamafanikio
_5T4EpCS2g4
(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe