| Base (English) | Kiswahili |
|---|---|
|
When you are reading a news update published by another organization on Envaya, you can publish a comment on their page, and start a conversation with them. At the bottom of the news update, scroll to Add a Comment.
Just type your comment and enter your name and location below, then click the Publish comment button. Afterwards, Envaya may require you to enter a verification code before your comment is published. If you are unsure how to read the verification code, make a guess and try again if it is incorrect.
Any comments you publish will be visible to anyone viewing the news update on the other organization's webpage. |
Wakati unaposoma taarifa ya habari iliyochapishwa na shirika jingine kwenye Envaya, unaweza kuchapisha maoni yako kwenye ukurasa wao, na kuanza mazungumzo nao. Chini ya taarifa ya habari, tembeza kwa Ongeza maoni au Add a comment.
Ingiza maoni yako, jina lako, na sehemu yako, kisha bonyeza kitufe cha Chapisha maoni. Baada ya hapo, labda Envaya itakuhitaji kuingia maneno ya kuthibitisha kabla ya maoni yako kuchapishwa. Kama huna uhakika jinsi ya kusoma maneno ya kuthibitisha, fanya kisio na kujaribu tena kama si sahihi.
Maoni yoyote ambayo unayachapisha yataonekana na watu wote wanaosoma taarifa ya habari kwenye tovuti ya shirika hilo. |
Translation History
|

