Log in

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI0000A75333BC5000004884:content

« Previous   ·   Next »
Base ((unknown language)) Kiswahili
  •  Kuazisha na kuendeleza shughuli mbali mbali za kimaendeleo kwa manufaa ya jamii na wana jumuiya.
  • kuendeleza ujenzi wa miundo mbinu ya shehia.
  • Kuendeleza na kuboresha huduma za Afya,maabara,maji safi na salama.
  • Kukuza viwago vya Elimu kwa kuendeleza shughuli za ujenzi wa madarasa,vikalio na shughuli nyengine za kimaendeleo.
  • Kutoa elimu zikiwemo za kuhifadhi Mazingira,HIV/AIDs na n.k.
  • Kuendeleza na kuazisha shughuli za kiuchumi na kuhakikisha jamii inafaidika na rasilimali zilizowazunguuka.
  • Kuendeleza na kuimarisha urafiki na mashirika,NGOs na CBOs za ndani na nje ya Tanzania.

 

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register