Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI0007FDD2A560B000018588:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

1 kuwaunganisha wanawake wajane waweze kuunda vikundi vya pamoja ili waweze kubuni miradiĀ  itakayo wasaidia kuinua kipato chao.

2 kuwaelimisha wanawake waendane na mabadiliko ya tabia ya nchiili wasiweze kuathiriwa na mabadiliko hayo mf.ukame.

3 kutoa elimu ya jinsia na mazingira(gender and deveropment) pamoja na jinsia na maendeleo

4 kutoa elimu juu ya haki za binadamu na haki za wanawake

5 kutoa elimu juu ya ukatiri wa kijinsia

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe