Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI000935DB57137000010632:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
ELIMISHA ni shirika lisilo la kiserikali,ambalo limeanzishwa na waandishi wa habari kwa lengo kusaidia jitihada za serikali katika kuiwezesha jamii kwa kuijengea uwezo ili kuondokana na umasikini,shughuli kubwa za ELIMISHA hufanyika vijijini,ambako kuna uhitaji mkubwa wa huduma mbalimbali za kijamii, na baadhi ya shughuli za ELIMISHA ni kutafiti na kuibua matatizo ya wananchi ili serikali na mashirika mengine yaweze kusaidia, kama unavyoweza kuona matukio mbalimbali katika picha za walengwa wanahitaji misaada.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe