Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI00086DC89D659000028519:content

Asili (Kiingereza) Kiswahili

On your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them.

These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya.

To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page (). Scroll down to the Edit Pages section, and click Network.

To add a partner organization, click Add Partner Organization. Then, enter the name of the partner organization, and any available contact information, and click the Add Organization button.

Envaya will search organizations that have already registered for Envaya with that name and contact information. If the organization is an Envaya user, click Add to add them to your Network page.

If the organization is not an Envaya user, you can still add them to your Network page. If they have an email address, you can invite them to join Envaya.

After you add the partner organization, click Add description to add more information about your organization's relationship with the partner organization. 

Click the View Page button to see how the Network page looks on your organization's website. At the top of the page is a list of your partner organizations, with links to their websites. Below is a summary of the latest updates from all of your partner organizations on Envaya.

Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mtandao, ambapo unaweza kuorodhesha mashirika ambayo utaweza kushirikiana nayo pia kueleza kazi zako

Mashirika haya ni pamoja na mashirika wafadhiri,watoa msaada, au mashirika ya kujitolea, pamoja na mitandao ya mashirika ambapo ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hawajasajiliwa kwenye Envaya.

Kuunda ukurasa majadiliano,ingia kwenye Envaya na nenda kwenye ukurasa hariri tovuti ( ). Nenda chini katika sehemu majadiliano.

Kuongeza shirika mwenza, bonyeza ongeza shirika la ubia. Kisha ingiza jina la shirika, na mawasiliano yoteharafu bonyeza kitufe ongeza Shirika.

Envaya itatafuta mashirika ambayo tayari yameshajiunga kwenye Envaya na kwamba jina na mawasiliano ya habari yanayo. Ikiwa shirika ni mtumiaji wa Envaya, bonyeza ongeza ili kuyaongeza katika ukurasa wako wa mtandao.

Kama shirika sio mtumiaji wa envaya unaweza kuliongeza katika ukurasa wako wa mtandao. Kama wana anwani ya barua pepe, unaweza kuwaalika kujiunga Envaya.

Baada ya kuongeza shirika mwenza, bonyeza ongeza maelezo kuongeza habari zaidi kuhusu uhusiano wa asasi yako na shirika mwenza.

Bonyeza kifungo ona ukurasa ili kuona jinsi ukurasa Mtandao unavyoonekana kwenye tovuti ya asasi yako. Juu ya ukurasa ni orodha ya mashirika yako mwenza, na viungo kwa tovuti yao. Chini ni muhtasari wa taarifa za karibuni kutoka kwa mashirika yako yote ya ubia yaliko Envaya.


Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

mgaya
20 Machi, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mtandao, ambapo unaweza kuorodhesha mashirika ambayo utaweza kushirikiana nayo pia kueleza kazi zako – Mashirika haya ni pamoja na mashirika wafadhiri,watoa msaada, au mashirika ya kujitolea, pamoja na mitandao ya mashirika ambapo ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hawajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa majadiliano,ingia kwenye...
mgaya
20 Machi, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nayo na kueleza jinsi unavyofanya nayo kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hayajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa wa majadilianao, ingia...
ramadhan
20 Machi, 2012
envayateam
15 Machi, 2012
Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nazo na kueleza jinsi unafanya nao kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao ukurasa wako hata kama ni haijasajiliwa kwa Envaya. – Kuunda ukurasa Discussions, kuingia kwenye Envaya...
Google Translate
19 Julai, 2011
Katika tovuti yako juu ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa Network, ambapo unaweza orodha ya mashirika ambayo kushirikiana na mashirika na kueleza jinsi kazi pamoja nao. – Mashirika haya ni pamoja na washirika kwamba mfuko, msaada, au kazi na wewe, pamoja na mitandao ya mashirika ambapo ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao ukurasa wako hata kama ni haijasajiliwa kwa Envaya. – Kuunda ukurasa Discussions, kuingia kwenye...
This translation refers to an older version of the source text.