Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuelimisha jamii hususani vijana kupunguza idadi ya wapenzi wengi awe wa kike au wa kiume. Kuelimisha vijana walio vijiweni kuacha tabia hatarishi, kama vile utumiaji wa dawa za kulevya, biashara ya ngono nk. Kuwahudumia watoto waishio katika mazingira hatarishi(WWKMH) kwa kuwaunganisha na mitandao ya watoa huduma kwa WWKMH. |
(Not translated) |