Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
NI MUHIMU KUELEWA KUWA KUTAMBULIKA KWA FAIDA ZA MITI TUNAYOPANDA, KUELEZA KWA UWAZI FAIDA ZOTE ZA MITI NA MIMEA TUNAYOPANDA INAWEZA KUSAIDIA KUCHOCHEA UHIFADHI WA HIARI WA MAZINGIRA KWA KICHOCHEA CHA FAIDA ZA MIT INAYOPANDWA,MFANO WA MIRADI INAYOENDESHWA NA WATU WA TANZANIA SPORTS AND CULTURE CONSULTANT ORGANIZATION, NA UTAFITI WA KUTAMBUA MATUMIZI YA AINA MBALIMBALI YA MIMEA KWA TIBA KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAMU WA TIBA ZA JADI, WAZEE ILI KUTEKELEZA MRADI WAO WA KUHIFADHI MAARIFA YA KIJADI AMBAYO YAPO HATARINI KUTOWEKA PINDI WAZEE HAO WAKIKUMBWA NA MAUTI,HIVYO KUPUNGUZA UPOTEVU WA MAARIFA YA KIJADI KWA KUYAFANYIA UTAFITI NA KUYAHIFADHI KWA KIZAZI KILICHOPO NA KIJACHO,. HIVYO TASCCO IMEEONYESHA MFANO KWA KUTAMBUA,KUTHAMINI NA KUHIFADHI UGUNDUZI WA AWALI WA WAZEE WETU, MAARIFA YA KITANZANIA,KIJADI YALIYOKATIKA HATARI YA KUPOTEA NA KUIBIWA KATIKA MCHAKATO WAO WA KUFANYIA UTAFITI ILI KUWEZA KUZIRIDHISHA KWA UTARATIBU RASMI KUKWEPA KUIBIWA MAARIFA HAYO NABAADAE KUUZWA TENA KWETU KAMA MAARIFA KUTOKA SEHEMU NYINGINE.MAZINGIRA YATATUWEKA VEMA TUKIFUATA MWENENDO WA TAASISI HII YA MWANZA.NAWAPONGEZA WENYE TAASISS ZOTE ZA AINA HII ZENYE KUJALI WATANZANIA WA KAWAIDA |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe