Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Tunaandaa semina kwa madereva wote wa masafa marefu na mafupi nchini Tanzania ambayo itafanyika siku ya jumamosi ya tarehe 5/6/2010 saa tatu na nusu asubuhi katika ukumbi wa nyumbu hall uliopo P T A au viwanja vya mwalimu Nyerere zamani sabasaba kilwa road |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe