Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: CMv85IckKTYARNY2swFnOrgO:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili
nijambo jema sana pale mwenyezi mungu anapo waamusha watu kama nyie kuweza kuacha mambo yenu na kutuhimiza katika kufata misingi ya uislamu, na kukuza uislamu,ni jambo rakumshukuru mungu sana. ukizigatia na eneo halisi lenye mitiani mingi kuliko miko yote tanzania sisi tuko pamoja katika kuhakikisha umoja na undugu wetu unaimalika bila ya kubaguana alakini pia kunahaja yakutafuta jia mbadala za kuigiza kipato ,kama vile kumbuni jiya za ufugaji kilimo uchomaji tofali nk .katika kuogeza kipata,kwani lazimu tutambue ya kuwa mjini wa serengeti unapanuka kwa kasi sana kwahiyo inatupasa kuaza kutafuta maeneo ya kumiliki ili kuweza kuwa na kama shule hospita nk.
mungu abariki katika hili nami nauga mkono kwa dhati
asalamu
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe