Base (English) | Kiswahili |
---|---|
Ndugu, Jamaa na marafiki wafuga nyuki muliokuwa dar es salaam tupange siku moja tukutane tuweze kupanga na kupambanua kuhusu biashara hii ya asali lengo kuu ni kujadili kwamba tutafanyaje tupate soko la asali linalo eleweka? Tafadhali wanajumuiya wenzangu naomba tufikirie kuhusu hili jambo. |
(Not translated) |