Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
NGOS kigoma zaweka mikakati ya kuendeleza jamii na kupaza sauti za wanyonge kusikika. Katika picha ni Uongozi wa KIUNGONET na Asasi mbalimbali wakiweka mikakati ya maendeleo ya jamii-kigoma na Tanzania kwa ujumla. |
(Not translated) |