Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
LENGO KUU LA NEW VISION GROUP. Ni Kujikwamua na maadui wakuu watatu ambao ni umasikini, maradhi na ujinga kwa kubadili fikra za kimaisha katika utashi na mtazamo.
I/Kubuni na kuibua miradi ya kiuchumi na kuendesha pamoja ili kujenga uwezo wa mwana NVG. II/Kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya namna bora ya kujikwamua na umasikini,maradhi na ujinga. III/Kukuza uelewa na utambuzi binafsi juu ya uhuru wa kipato.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe