JUAMA NI JUMUIYA YA KIJAMII (CBO) ILIANZISHWA 1998 NA KUSAJILIWA RASMI 23/9/2005. – REGISTRATION NUMBER: 383/2005
BANK ACCOUNT 031208000156 THE PEOPLES BANK OF ZANZIBAR
JUAMA ILIANZISHWA KAMA NI KIKUNDI CHA UHAMASISHAJI KUIMARISHA USAFI NA UPANDAJI MITI KUTOKANA NA MILIPUKO YA MARADHI YA KIPINDUPINDU NA MATUMBO PIA KUTOKANA NA ATHARI ZA UKATAJI WA MISITU OVYO KATIKA UKANDA WA PWANI YA MASHARIKI YA KISIWA HIKI CHA UNGUJA KWA VIJIJI... | (Not translated) | Hindura |