Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuwa asasi inayoshirikisha wajane,wanawake na wazazi pwekee pamoja na vijana wa kike kushiriki katika kulinda na kutetea haki zao,kushiriki katika shughuli za maendeleo,kushiriki katika utekelezaji wa sera mbalimbali pamoja na kujengea uwezo katika ushawishi na utetezi miongoni mwa jamii na hasa makundi yanayoishi kwenye mazingira hatarishi. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe