Mabadiliko tarajiwa
|
1.0 Kuongezeka kwa ufanisi na utendaji wa MWACYA kwa kuwa na utunzaji na usimamizi mzuri wa fedha,kuwa na mpango mkakati na uwezo katika uandishi wa miradi ifikapo February 2012
|
1.1 Kuwepo kwa utunzaji mzuri wa fedha za asasi,kutumia vitabu vya fedha.
1.2 Kuwepo kwa mpango mkakati wa uendeshaji wa MWACYA.
1.3 Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili
|
MWACYA haina utaratibu mzuri wa usimamizi wa fedha, pia MWACYA haina mpango mkakati na haina uwezo wa usimamizi wa miradi
|
Ifikapo february 2012 MWACYA iwe na uwezo wa kuandika miradi,usimamizi wa fedha ulio imara na kuwa na mpango mkakati unao tumika.
|
1.1.1Taarifa ya za mafunzo yaliyotolewa kwa wanachama
1.1.2 Mpango mkakati unaotumika.
I.1.3 Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili
1.1.4 Lengo kuu la mradi limefikiwa
|
Miezi mitatu.
|
Mratibu,katibu na mhasibu.
|
Matokeo ya Awali
|
1.3 Kuwa na mwongozo wa fedha wa MWACYA unaotumika.
|
Miongozo ya fedha iliyo andaliwa
|
MWACYA haina utaratibu mzuri wa usimamizi wa fedha, pamoja wanachama wengi kuwa wahasibu.
|
Kuwepo na muongozo wa fedha unaotumika.
|
Miongozo ya fedha inayotumika
|
Miezi mitatu
|
Mratibu,katibu na mhasibu.
|
2.1 Wanachama 20 wa MWACYA wamepatiwa mafunzo ya mpango mkakati.
2.2 Mpango mkakati unaoonesha mwelekeo wa MWACYA wa miaka 3 ijayo umetayarishwa na unafanyakazi.
|
Idadi ya wanachama waliopatiwa mafunzo
|
MWACYA haina mpango mkakati .
|
Ifikapo February 2012 MWACYA iwe na mpango makakati unao tumika.
|
Mpango mkakati unaotumika.
|
Miezi mitatu
|
Mratibu,katibu na mhasibu.
|
3.1 Wanachama 20 wa MWACYA wanapatiwa mafunzo ya usimamizi wa miradi
3.2 Uwezo wa MWACYA katika ubunifu na usimamizi wa miradi umeongezeka.
|
3.1.1 Idadi ya wanachama waliopatiwa mafunzo
3.2.1 Idadi ya maombi ya miradi iliyoandaliwa na kupelekwa kwa wafadhili.
|
MWACYA inaye mtumishi mmoja tu mwenye uwezo wa kuandika miradi
|
Ifikapo February 2012 MWACYA iwe na uwezo wa kuandika miradi
|
3.1.1.1 Taarifa ya mafunzo
3.2.1.1 Taarifa ya ufuatiliaji.
|
Miezi mitatu
|
Mratibu,katibu na mhasibu
|
4.1 MWACYA inatumia taarifa za utekelezaji na taarifa za ufuatiliaji na tathimini, imezifanyiakazi
|
Hadithi za mafanikio ya mradi.
|
MWACYA haina utaratibu wa kufuatilia,kutathimini na kuweka kumbukumbu za mafanikio.
|
Mwishoni mwa mradi MWACYA itakuwa na utaratibu wa hufuatiliaji na kutathimini shughuli zake.
|
Taarifa ya ufuatiliaji na Tathimini.
|
Miezi mitatu
|
Mratibu,katibu na mhasibu.
|