Envaya

/ikwabe/post/7169: English

BaseEnglish
Kwa mashirika yetu yaliyopo vijijini tunazo changamoto mbambali katika kutekeleza miradi ya jamii kutokana na jamii zenyewe kushindwa kutofautisha ni yapi mashirika ya mikopo na yale ya huduma, hivyo tunatoa maoni mashirika haya ya vijijini kupata ushirikiano wa karibu na mashirika mengine kwani walengwa wengi wanapatikana vijijini. Tunawapongeza Foundation kwa kuwa wanajali na wanatufikia huku vijijini, mashirika mengine yaige mfano huo.In our organizations existing in rural areas we have challenges mbambali in implementing projects of society because society itself, failing to distinguish which of the organizations of credit to the service, so we offered these groups of rural access in close collaboration with other organizations for targeted mostly found in rural areas. Tunawapongeza Foundation because they care and they hear us while in rural areas, other agencies yaige parable.Edit
Shirika letu kwa sasa tumeweza kuwasaidia watoto 45 wanaoishi katika mazingira hatarishi wa vijiji vya Lusanga, Kwadoli na Dihinda kupunguza makali ya maisha kwa kuwapatia chakula,nguo na vifaa vya kusomea. – Pia upande wa VVU/UKIMWI shirika limeweza kuendesha zoezi la kupima kwa hiari katika kijiji cha Lusanga ili kubaini maambukizi mapya hapo mwaka 2009 na 2010 na kubaini waathirika 18 ambao wanapata huduma ya dawa za kurefusha maisha sasa. – ELIMU:Shirika...Our organization for now we can help 45 children living in vulnerable villages Lusanga, Kwadoli and Dihinda cutting edge of life by providing food, clothes and study materials. – Also on the HIV / AIDS organization has been able to operate freely exercise testing in the village of Lusanga to identify new infections there in 2009 and 2010 to identify 18 victims who have access to antiretroviral treatment now. – EDUCATION: The organization developed to provide...Edit