KUBUNI MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI,ILI KUINUA HALI ZA MAISHA YA WATU WA KAWAIDA KWA KUZINGATIA MGAWANYO WA MAJUKUMU KIJINSIA. – JINSIA NA MAENDELEO(JINAMA) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililopo mkoani Tabora.Shirika hili lilianzishwa mwaka 2004 na lilipata usajili wa kudumu mwaka 2006, namba ya usajili 00NGO/1707 chini ya ya sheria ya NGO ya mwaka 2002.Kwa sasa... | (Not translated) | Edit |