Asili ((unknown language)) | Kiswahili |
---|---|
Mitandao ya vijana ya kata imeanzishwa katika kata 10 wilayani Newala ikiwa na lengo la kuwaunganisha vijana kutoka ngazi ya kaya hadi wilaya na kushikiana na serikali katika utekelezaji wa sera za maendeleo sambamba na kudumisha AMANI, UTULIVU na USALAMA wa wilaya na Taifa kwa ujumla. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe