Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ndanda/post/4314
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
5. NAMNA WANA-WEMA WALIVYOWAKUMBUKA WANAFUNZI YATIMA SIKU YA MJADALA WA WAZI - NDANDA – Tarehe 03 Mei 2010 kikundi cha Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA waliendesha mjadala wa wazi katika mji mdogo wa Ndanda. Wana-WEMA waliitumia siku hiyo kukabidhi misaada kwa wanafunzi watatu ambao ni yatima kutoka katika shule tatu za msingi. Wanafunzi hao ni Genofever Kavili mwanafunziwa darasa la IV kutoka...
(Bila tafsiri)
Hariri