Envaya

/ndanda: Kiswahili: WI000471BF3F9AF000003518:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili

 

KUTUMIA nguvu ya umoja wa kikundi cha WEMA kuhamasisha wananchi wanaoishi vijiji vya Kata ya Mwena, pamoja na wakazi wa wilaya ya Masasi, walengwa wakiwa wale wenye kipato cha chini, kwa kushirikisha makundi yote ya jamii yaani; wanawake kwa wanaume, vijana kwa wazee, wanafunzi, pamoja na walemavu, ili washiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo, ambayo kimsingi zitawaondolea hali ya umaskini na unyonge ambao hivi sasa umejiimarisha ndani ya wananchi walio wengi katika wilaya ya Masasi.

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe