Katiba ya sasa inaeleza kwamba Tanzania ni nchi ya kijamaa wakati ukweli halisi hatuko tena kwenye ujamaa.Lakini pia imempa Raisi madaraka makubwa sana.Katiba mpya impunguzie madaraka,baadhi yahamishiwe kwa bunge.Mathalani,CAG na Mkurugenzi wa PCCB na PPRA waidhinishe na bunge baada ya uteuzi na wawajibike kwa bunge. | The current Constitution states that Tanzania is a country of social reality when we are no longer on ujamaa.Lakini also I have given the President new powers sana.Katiba impunguzie major power, some for bunge.Mathalani yahamishiwe, CAG and the Director of PCCB and PPRA waidhinishe parliament after selection and be accountable to parliament. | Edit |