Waswahili hunena "Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa" Ni ukweli usiopingika wala kufichika kwamba hakuna njia ya mkato ili kufikia katika mafanikio kwenye jambo lolote. Nadiriki kusema hivyo kutokana na ukweli kwamba Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoa wa Lindi (LANGO) kama ambavyo unajulikana kwa jina maarufu umepitia katika changamoto lukuki tangu kuanzishwa kwake katikati ya mwaka 2007. Moja wapo ya changamoto kubwa ni; kuanzishwa na kujiendesha kwa kutumia raslimali fedha chache ilizokuwa... | (Not translated) | Hindura |