Base (Swahili) | English |
---|---|
Hedea ni asasi ambayo inasaidia jamii hasa wale wanaoishi na maambukizi ya vvu,wanaowasaidia wagojwa wa majumbani na watoto wanaoishi katika mazingira Magumu,Hedea ilichukua jukumu la kumuhudumia mtoto huyu(Picha juu),kuanzia ngazi ya wilaya hadi Hospitali ya Rufaa Mbeya,kwani alikuwa anasumbuliwa na Saratani ya Ngozi |
(Not translated) |