The Foundation for Civil Society ni Mfadhili mkubwa wa Kijogoo Group for Community Development, Katika kipindi cha miaka 7 tumekuwa tukitekeleza miradi ya Utawala Bora kwa Ufadhili wake na pia imekua ikitujengea uwezo wa kiutendaji sisi Viongozi wa shirika la Kijogoo ili kufanya kazi kwa ufanisi na tija. – Tunaipongeza sana na tunaishukuru sana | (Not translated) | Hindura |