Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Habari wadau ,napenda kuwapongeza wale wote waliopata fursa ya kupewa ruzuku kwa ajili ya kuelimisha wananchi kujitokeza kupiga kura na kulinda amani kwa kipindi chote cha uchaguzi. Ni matumaini yetu kuwa mtawajibika ipasavyo na jamii itathamini mchango wa asasi kwa elimu mtakayoitoa nasi tusiopata ruzuku tunaunga mkono juhudi zenu , cha msingi mzingatie kanuni na masharti |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe