Base (Swahili) | English |
---|---|
TAARIFA YA UPOTEVU WA VOCHA ZA RUZUKU ZA PEMBEJEO ZA KILIMO KATIKA TARAFA YA GAIRO , WILAYA YA KILOSA. KGCD katika kuendesha mradi wa uwajibikaji wa Serikali kwa Umma, imebaini kupotea kwa Vocha za Pembejeo za Kilimo katika Tarafa ya Gairo Wilayani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro zenye Thamani takribani Shilingi milioni arobaini na sita laki nne na elfu tisini (46,490,000) kwa Vocha 2214. kati yake 1107 za kupandia na 1107 za kukuzia Hata hivyo katika kata ua Chakwale Vocha zipatazo 2936 zikiwa za Mbolea ya kupandia na kukuzia. hii ilitokana na mawakala kutoa mbegu za mahindi badala ya mbolea kwa kutumia vocha za Mbolea. taarifa ya Ufuatiliaji imetumwa kwa Serikali ya Wilaya ya Kilosa, Ofisi ya Mkurugenzi, Ofisi ya Afisa Kilimo, Ofisi zote za Kata na Ofisi ya Afisa Tarafa Gairo kwa ajili ya kufanyiwa kazi. Wakati wa ufuatilaji wa taarifa hizo viongozi na wafuatiliaji walinyimwa baadhi ya taarifa na kulazimika kuzitafuta kwa mbinu za ziada au kutumia Viongozi Mfano Madiwani na Afisa Tarafa. USHAURI Wajumbe wa Kikao cha Upokeji wa taarifa za Mwisho kilichofanyika katika Ukumbii wa SHule ya msingi Gairo "B" walikubaliana yafuatayo 1. waliohusika na upotevu huo hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. 2. wananchi waelimishwe juu ya matumizi sahihi ya Mbolea na Mbegu 3.Mbolea na Mbegu ziwe zinafika kulingana na wakati kutokana na Jografia na Hali ya hewa ya Eneo husika.
|
INFORMATION FOR LOSS OF GRANT voucher farm inputs on Gairo Division, Kilosa District. KGCD in running the Government Accountability Project for Public imebaini loss of vouchers for Agricultural Inputs in Division Gairo Kilosa District in Morogoro Region shillings worth about forty-six million four hundred thousand and ninety thousand (46,490,000) for vouchers in 2214. planting material flow in 1107 and 1107 for growing However, in the county court in 2936 about vouchers Chakwale Manure samples of planting and growing. This was due to the agents providing maize seed with compost instead of fertilizer vouchers. Monitoring reports sent to the Government of Kilosa District, Office of the Director, Office of Agricultural Officer, Office of the County and all of the Office of Divisional Officer Gairo to be working. During ufuatilaji of leaders and monitors these reports were denied some reports and have to seek additional methods to Councillors and Officials Example Divisional Officer. ADVICE Members of Session Upokeji of information held in Ukumbii end of primary school Gairo "B" agreed the following 1. losses involved and legal action be taken against them. 2. the public be educated on the proper use of fertilizers and seeds 3.Mbolea and seeds should be arriving just in accordance with time due to geographical and climatic conditions of the area concerned. |
Translation History
|