Envaya
/manshep/post/24
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Napenda san hiyo designing nawez pataj
(Not translated)
Hindura
MAARIFA YA WENYEJI NA TEKNOLOJIA YA WAAFRIKA INAVYOWEZA KULETA MAGEUZI YA KIUCHUMI NA MAENDELEO. – Bidhaa pekee katika soko huria iliyo na ushindani wa kweli ni ile inayotokana na ubunifu. Wenyeji wa Afrika wanaweza kupambana na umaskini wao wenyewe bila kutegemea misaada toka nje ya bara hili. Bara la Afrika lina malighafi nyingi, elimu, ujuzi, sayansi na teknolojia ambazo zikitumiwa kwa ufanisi, zinaweza kabisa kuleta mageuzi ya kiuchumi, kiafya na...
(Not translated)
Hindura