Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
Baadhi ya vifaa vya wanafunzi kama vile sare za shule, madaftari na vitabu vikiwa vimeandaliwa tiari kwa kuwagawia wanafunzi katika kata ya Ketare na Salama. Tunawashukuru sana wahisani wetu kwa kuendelea kuijali na kuiendeleza elimu katika jamii yetu kupitia shirika letu. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe