Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/meeco/post/89983
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Wanachama na viongozi wa MEECO walioshiriki katika mafunzo ya utawala bora ndani ya Asasi. Mafunzo hayo yalidhaminiwa na shirika la the foundation for Civil Society la Dar-es-Salaam. Kuanzia upande wa kulia walioinama ni katibu wa Asasi ambae pia ni Mratibu wa Mradi huo Ndugu Suleiman Jeni Pandu, akifatiwa na Mwenyekiti wa Asasi Ndugu Abdallah Ali Hassan (image)
(Bila tafsiri)
Hariri