Kusaidia jamii za Pemba kupitia kamati za uhifadhi na maendeleo za shehia, kusimamia kikamilifu mbinu za uhifadhi wa maliasili na mazingira yao. – Kusaidia jamii za Pemba kupitia Kamati za uhifadhi na maendeleo za Shehia kujikita katika mbinu mbadala za kuongeza kipato na kuboresha hali za maisha. – Kusaidia jamii kutumia vyema mapato yanayotokana na faida za uhifadhi wa rasilimali zinazowazunguka katika kuanzisha na kuendesha miradi ya maendeleo inayotokana na... | (Not translated) | Hindura |