UTAMBULISHO
MASAYODENni shikalisilo la kiserikali na lipo wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara.Shirika lilianzishwa rasmi tarehe 18/5/2002 liliundwa na vikundi 34 vya vijana toka kila kata za wilaya ya Masasi. Masayoden ilisajiliwa tarehe 13/6/2003. namba ya usajili ni S .O.NO 11980 .Shirika linafanya shughuli za vijana ngazi ya wilaya. Lengo kuu ni kupambana na umasikini na vvu/ukimwi wilaya ya masasi.
MASAYODEN ni mwanachama wa shirika Mwamvuli la NGOs Masasi (MANGONET). Masayoden inamahusiano... | INTRODUCTION
MASAYODENni shikalisilo governmental and exists Masasi district governor of Mtwara.Shirika officially created on 05/18/2002 and was formed 34 groups of youth from every county in the district of Masasi. Masayoden was registered on 13/06/2003. The registration number is S. O. NO 11 980. Corporation engages youth activities of the district level. The main objective is to fight poverty and HIV / AIDS .
MASAYODEN Masasi district is a member of an umbrella organization of NGOs Masasi... | Edit |