Asili (Kiswahili) |
Kiswahili |
- KUENDELEZA MICHEZO MBALIMBALI IKIWEMO MICHEZO YA JADI.
- KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MICHEZO.
- KUANDAA MAFUNZO YA WALIMU WA MICHEZO NA WANAMICHEZO.
- KUJENGA SEHEMU ZA MAPUMZIKO (RECREATION CENTRES).
- KUTAFUTA PEMBEJEO ZA KILIMO NA KUTAFUTA MASOKO YA MAZAO YA BIASHARA.
- KUSAIDIA WANACHAMA KUANZISHA MIRADI MIDOGO YA KIUCHUMI.
- KUPAMBANA DHIDI YA UKIMWI.
- KUTAFUTA WAHISANI/WAFADHILI WA NDANI NA NJE YA NCHI WA KUSAIDIA KUFANIKISHA MALENGO YA SHIRIKA LA MASAFA.
|
|