Envaya

/zpmo/post/19392: Kiswahili: CMkUqP3VS6vCInvYku9VWFLu:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili

Asante Bi Wahida kwa kuonesha hamu ya kutaka kujua wapi Jumuiya ya Skuli za Maandalizi za Madrasa ipo. Jumuiya hii iko Mwanakwerekwe nyuma ya skuli ya Mwanakwerekwe C, karibu sana na jumuiya ya ZANGOC.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe