Envaya
/yad/post/49
: English
Base
English
Rais huyu wa awamu ya nne kaweka viwango vya juu vya uongozi kiasi kwamba Rais ajae ajiandae kufanya kazi. kazi tumeiona na tumombee kwa pamoja Mwenyezi Mungu Ampe maisha marefu na yenye mafanikio sana.
(Not translated)
Edit
(image) – YAD tunatambua mchango wa Mhe.Dr. Jakaya mrisho Kikwete ambaye ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuliletea taifa hili maendeleo.
(Not translated)
Edit