Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ZPMO/post/19392
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mi nataka kujua hii jumuia iko mwanakwerekwe sehemu gani
(Bila tafsiri)
Hariri
Asante Bi Wahida kwa kuonesha hamu ya kutaka kujua wapi Jumuiya ya Skuli za Maandalizi za Madrasa ipo. Jumuiya hii iko Mwanakwerekwe nyuma ya skuli ya Mwanakwerekwe C, karibu sana na jumuiya ya ZANGOC.
(Bila tafsiri)
Hariri
Mimi ni mratibu wa kituo cha walimu likotwa (TRC)hapa lindi manispaa, tumewahi kufanya kazi pamoja na zmrc katika mradi wa CREATE, vp tunaweza kushirikiana kuendeleza elimu ya awali (maandalizi) kwa walimu wetu wa huku LInd?
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Playing is one of the important strategies used in early childhood teaching and learning activities. Here are the preschool children playing in a madrasa preschool program.
(image) – Playing ni moja ya mikakati ya muhimu inayotumika katika utoto kufundisha na kujifunza shughuli. Hapa ni watoto wa shule ya mapema kucheza katika mpango wa madrasa shule ya mapema.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri