Base (Swahili) | English |
---|---|
Ndugu Wana Envaya na wanachama,
Nimefurahia huduma hii ya Envaya, nimeanza kujaza na kuweka nyaraka zote muhimu za Asasi ya YODA. Nitakuwa nina update kila mara nitakapo pata habari mpya. |
(Not translated) |