Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ZANSA/post/11
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Chama cha skauti Zanzibar kinatoa salaam na pongezi kwa SKAUTI MKUU mteule mama MWANTUMU BAKARI MAHIZA kwa kuteuliwa kwa Skauti Mkuu Hii ni Mara ya kwanza katika Chama hicho kupata skauti mkuu wa kike Tangia kuanzishwa kwake. – Chama cha skauti Tanzania kimekuwa kikiyumba kutokana na kuna matatizo mbali mbali ambayp yanakikabili chama hicho. – Matumain yetu Uteuzi wa mama Mahiza wa weza kuwa ni dawa kwa chama hicho na kurejesha heshima na...
(Bila tafsiri)
Hariri