Base ((ururimi rutazwi)) | Kinyarwanda |
---|---|
ZAPA, inatarajia kufanya kazi zake vizuri katika mwaka 2013/14 kwa kuangalia kipengele kizima cha watoto walemavu katika vijiji na kuwatambulisha kwa jumuiya zao ili kupata haki zao za msingi. Jumuiya imeona wazi kuwa watoto walemavu bado wanaonekana ni watu wakosefu wanaohitaji kutengwa na jamii na hawana mchango wowote. zipo jamii kadhaa ambazo bado wapo na imani potofu. yoyote ambae anaweza kutuunganisha na wafadhili au kufadhili zoezi hili anakaribishwa. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe